Wednesday, February 4, 2009

Promo mpya ya benki ya stanbic

Bosi wa mauzo wa Stanbic Bank Lilian Kitomari akiwa na bosi wa uhusiano wa shughuli za benki wa benki hiyo Urassa Sarakikya wakinadi promosheni mpya iitwayo 'Shinda na StanBic' ambapo wateja wametengewa zawadi kibao

No comments:

Post a Comment