
Mbunge wa Njombe Kusini na Naibu Spika, Anne Makinda (kulia) akiteta na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa, akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Philip Marmo (kushoto) na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika, ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Februari 2,2009.

Mbunge wa Iramba Mashariki, Mgana Msindai akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulinda, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Februari 2,2009.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment