
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiangalia mitambo ya kumwagilia maji katika mashamba ya miwa ya kiwanda cha Sukari Kagera wakati walipotembelea mashamba hayo kwa ajili ya kukaguwa kilimo cha umwagiliaji. Makamu wa Rais yupo Mkoa wa Kagera kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya wananchi

Makamu wa Rais akiijaribu ngoma ambayo pamoja na baraghashia alipewa zawdi kijijni hapo

Dr. Shein akisalimiana na mtoto aliyekuwa miongoni mwa mamia ya wakazi wa missenyi waliokuja kumpokea
No comments:
Post a Comment