Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu, akishikwa mkono na mama yake Mariam Sepetu,baada ya kumpatia dhamana katika Mahakama ya Kinondoni Dare s Salaam.

Hi Honey pole jamani!! I Miss You kweli!!! "Mumewe" akimpa pole.

Wema akibebwa msomsobe na Mama yake baada ya kutaka kuondoka na "mumewe" Jumbe ambaye familia yake haimtambui.
No comments:
Post a Comment