Hii ni kusudi au aliyeandika ndiyo kaweka hii pikipiki?
Mara nyingi maeneo ya ujenzi ni maeneo hatari ndiyo maana huwekwa vitu mbalimbali kuwezesha usalama. Hapa ni Dar es salaam pamoja na maandishi makubwa ya tahadhari No Parking jamaa hayaoni na wala hajali chochote
No comments:
Post a Comment