
jackson kalikumtima, mwandaaji wa miss ilala akitoa shukrani kwa tbl ambayo kupitia kilaji chake cha redds premium cold ndio wadhamini wa michuano ya kanda tatu za dar. wanaofuatia ni yusuf george a.k.a boy george (mwandaaji wa miss kinondoni), prashant patel (mwenyekiti na mwanzilishi wa miss tz) david minja (bosi wa masoko wa tbl) na kisaka (mwandaji wa miss temeke)

bango linaloonesha kanda za dar ambazo zitadhaminiwa kumpata mwakilishi wao katika miss vodacom tanzania 2009 kama lilivyozinduliwa leo usiku katika much more club ya billicanas
No comments:
Post a Comment