Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua gwaride wakati alipofunga mafunzoya awali ya askari polisi kwenye Chuo cha Polisi cha Moshi(CCP)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akisalimiana na Maofisi wa Jeshi la polisi na Magereza baada ya kuwasili kwenye uwaja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya awali ya Polisi na Uhamiaji katika Chuo cha Polisi(CCP)mjini Moshi jana. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi,Said Mwema
No comments:
Post a Comment