Friday, August 29, 2008

JK aendelea na ziara yake Marekani

waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh. bernard membe na mkurugenzi wa wakala wa biashara na ushirikiano wa kimataifa wa marekani (USTDA) mama leocadia zak wakimwaga wino wa mkataba wa makubaliano ambapo wakala huo utaipatia bongo dola 600,000 za kimarekani kuipiga tafu sekta za umeme, mafuta na gesi huko washington,

JK akihutubia katika makao makuu ya shirika la misaada la marekani USAID huko washington


JK akilakiwa na bosi wa kitengo cha elimu cha shirika la misaada ya kimataifa la marekani USAID Dr.Sarah Moten alipotembelea jana. katika mkutano wao Dr Moten alitangaza msaada mpya kusaidia ununuzi wa vitabu vya sayansi kwa shule za sekondari nchini wenye thamani ya dola milioni 1.5 za kimarekani
Picha zote na Freddy Maro

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP