Thursday, June 18, 2009

Read more...

Thursday, April 23, 2009

BSS Dar Jumapili

Mkurugenzi wa Benchmark Ritah Paulsen (katikati)akiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la kuwasaka nyota Bongo Star Seach(BSS)kwa mkoa wa Dares Salaam zoezi hilo litafanyika jumamosi hadi jumapili katka ukumbi wa World cinema.(kushoto)Meneja udhamini wa Vodacom Emillian Rwejuna na kulia ni Meneja Mawasiliano Nector Foya wa Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wakuu wa Bongo Star Search.

Mkurugenzi wa Benchmark waandaaji wa Bongo Star Seach Ritah Paulsen akizungumza na wanahabari katika mako makuu ya Vodacom jengo la PPF Tower wakati alipoongea na wanahabari kuelezea juu ya shindano la BSS linalotarajiwa kufanyika jumamosi na jumapili mkoani Dar es alaam kulia ni Nector Foya meneja mawasiliano Vodacom

Read more...

Pinda Bungeni

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga Mjini Mh. Paul Kimiti, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma

Read more...

Mama Kikwete meets The White Ribbon Alliance President

First Lady Mama Salma Kikwete presents a gift to The President of the White Ribbon Alliance For Safe Motherhood Theresa Shaver(right)at the end of The African First Ladies Health Summit, held in Los Angeles, California.in the centre with spects is Betsy MCallon, Senior program Addvisor.

First Lady Mama Salma Kikwete holds one year old Farai Kasago whose Tanzanian parents live and work in Los Angeles, when she met and talked with Tanzanians during an informal gathering in Los Angeles last night. Mama Kikwete was in the US to attend a two day summit of African First Ladies on Maternal health.

Read more...

Monday, April 20, 2009

Simba na Yanga katika pichaSimba na Yanga katika pichaRead more...

Ziara ya Waziri Mkuu Chuo

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua gwaride wakati alipofunga mafunzo
ya awali ya askari polisi kwenye Chuo cha Polisi cha Moshi(CCP)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akisalimiana na Maofisi wa Jeshi la polisi na Magereza baada ya kuwasili kwenye uwaja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya awali ya Polisi na Uhamiaji katika Chuo cha Polisi(CCP)mjini Moshi jana. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi,Said Mwema

Polisi wanafunzi wa Chuo cha Polisi cha Moshi(CCP)wakionyesha mbinu za kuwanasa majambazi mbele ya Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipotembelea kambi yao ya mafunzo ya Kilele Pori mkoani Kilimanjaro juzi.Askari hao wamehitimu jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Read more...

Friday, April 17, 2009

Pinda na wageni ofisini kwakwe

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kigoda cha mpingo,Mwakilishi Wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda(UNIDO)anayeondoka,Patricia Scott,baada ya mazungumzo yao,Ofisini kwa Waziri Mkuu,jijini Dar es salaam,April 16,2009.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkaribisha,Balozi wa Vietnam nchini,Bw.Nguyen Duy Thien ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo,April 16, 2009.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Japan nchini,Bw.Hiroshi Nakagawa, kabla ya mazungumzo yao,ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprill 16, 2009. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Read more...

DR. MWINYI AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI

Waziri wa ulinzi na kujenga taifa Mh. Dr. Hussein Mwinyi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukutana na kamati ya Bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama leo jijini Dar es alaam kulia ni mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo picha na Aron Msigwa wa Idara ya Habari Maelezo

Read more...

Mh. Munuo ndiye kaimu jaji mkuu

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akipozi na kaimu Jaji Mkuu Mh. Eusebia Munuo (mwenye joho) katika picha ya pamoja na majaji wengine baada ya kumuapisha kukaimu nafasi ya Mh. Augustino Ramadhani ambaye yuko nje ya nchi kikazi

Read more...

stanbic bank yamzwadia mshindi wa promo yao

bosi wa mauzo na huduma wa stanbic lilian kitomari (kulia) na bosi wa masoko wa benki hiyo abdallah singano wakimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 mkurugenzi wa kanbern international agemcy bernard kanizio baada ya kampuni yake kushinda promosheni ya banking on winning

Read more...

Thursday, April 16, 2009

MILIONEA ATAKAYEVUNA MILIONI 100 ZA VODACOM KUPATIKANA JUNI

Katikati ni meneja wa Udhamini na mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza kushoto Boniface Emmanuel meneja bidhaa na kulia ni Elihuruma Ngowi muneja huduma na Bidhaa wote kwa pamoja wakionyesha bango lenye maneno ya tuzo droo ya milioni mia moja inayotarajiwa kumpata mshindi mwezi wa sita mwaka huu aqmbapo katika kipindi cha miezi 11 iliyopita Vodacom imeshatoa zawadi za zaidi ya Bilioni moja.

Read more...

JK Umangani

Mfame Abdullah bin Aziz Al-Amer wa Saudi Arabia akiwa katika mazungumzo na mgeni wake JK baada ya Dhifa ya kitaifa aliyomuandalia katika makazi yake ya kifalme huko Saudi Arabia(katikati ni mukalimani. picha na Juma Kengele wa Ikulu

Read more...

Simba, Yanga wapewa vifaa


Meneja Masoko wa tbl david minja (kulia) akimkabidhi uzi mpya makamu mwenyekiti wa simba sc omari gumbo (mwenye tai) huku meneja wa simba innocent njovu (shoto) na mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni jijini dar. yanga nao wamekabidhiwa uzi wao, tayari kwa mechi ya jumapili hii. Picha ya Juu akimkabidhi katibu mkuu wa Yanga Lucas Kisasa vifaa vya Yanga

Read more...

Bobby Ricketts awapiga msasa THT

Mmarekani anayeishi Denmark, Bobby Ricketts ambaye ni mtaalamu wa saksafoni na muziki wa Soul, Funk na Jazz, akiwatazama wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) walipotumbuiza, Dar es Salaam jana baada ya kutoa mafunzo ya jinsi ya kupiga vyombo vya muziki na kuimba kwa wasanii hao. Mafunzo hayo ya Bobby Ricketts yanafanyika kwa wiki moja.

Mmarekani anayeishi Denmark, Bobby Ricketts ambaye ni mtaalamu wa saksafoni na muziki wa Soul, Funk na Jazz, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana baada ya kutoa mafunzo ya jinsi ya kupiga vyombo vya muziki na kuimba kwa wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT). Mafunzo hayo ya Bobby Ricketts yanafanyika kwa wiki moja.

Read more...

uzinduzi wa ufadhili wa redds kwa kanda za dar

jackson kalikumtima, mwandaaji wa miss ilala akitoa shukrani kwa tbl ambayo kupitia kilaji chake cha redds premium cold ndio wadhamini wa michuano ya kanda tatu za dar. wanaofuatia ni yusuf george a.k.a boy george (mwandaaji wa miss kinondoni), prashant patel (mwenyekiti na mwanzilishi wa miss tz) david minja (bosi wa masoko wa tbl) na kisaka (mwandaji wa miss temeke)

bango linaloonesha kanda za dar ambazo zitadhaminiwa kumpata mwakilishi wao katika miss vodacom tanzania 2009 kama lilivyozinduliwa leo usiku katika much more club ya billicanas

Read more...

Wednesday, April 15, 2009

Mh. Sitta ziarani Bermuda

Rais wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola Duniani na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Samuel Sitta akifanya mazungumzo mafupi na Waziri Mkuu wa visiwa vya Bermuda, Mhe. Dr. Ewart Brown wakati Mhe. Sitta alipomtembelea Mhe. Brown ofisini kwake.

Kiongozi wa Upinzani wa Bermuda, Mhe. Hubert Kim Swan akitoa zawadi kwa Mhe. Spika Samuel Sitta wakati viongozi hao walipokutana nchini Bermuda.

Read more...

Tuesday, April 14, 2009

Vodacom yaipiga tafu TBF.

Katibu Mkuu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo(kushoto)akifurahia kukombolewa kwa mipira ya msaada iliyotolewa na shirikisho la mchezo huo,FIBA.Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ndiyo iliyosaidia kulipia ushuru wa Forodha mipira hiyo kwa kutoa sh Milioni moja(ML 1) fedha taslimu.kushoto kwa cheyo kati ni Nector Foya kutoka Vodacom akifuatiwa Matin Nkurlu mmoja wa maafisa uhusiano Vodacom na Simon Msofe.

Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom George Rwehumbiza wa pili kulia akimkadhi mipira 210 kwa viongozi wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo( kushoto)baada ya Vodacom Tanzania kuikomboa kwa kulipia ushuru wa forodha Sh Milioni 1.(kushoto) wengine kulia ni Simon Msofe na mbaga mwambona.

Read more...

Thursday, April 9, 2009

Haya ndiyo mambo ya mvua


Haya wa mabondeni mpooooooooooo???

Read more...

Tuesday, April 7, 2009

MWANZA ROCKED to FASHION Made In Tanzania


grace from Mwanza Modeling Chris Design Outfit

chris design representative during chris design finale with mwanza based models regina and Wema

Mwanza, Tanzania Second Largest City, was dazzled by glitz glamour and gallantry synonymous with the creation of Renowned Designer Mustafa Hassanali on 4 April 2009 at the NEW MWANZA HOTEL.

Top Models from Dar es Salaam and Mwanza Paraded both Mustafa Hassanali and Mwanza based CHRIS DESIGNER To an audience of Mwanza Elite amongst them Mwanza Businessmen Christopher Gachuma, Subhas Patel and Mohammed Fazal.

Also Entertaining the Guest was famous comedian from Dar Steve Nyerere and Dogoli Culture Group from Mwanza

Mustafa Says “Mwanza was a great step aimed at not only Promoting Fashion as a lifestyle trend in Tanzania but also Promoting Made in Tanzania Products”.

The SATOLICIOUS Fashion Show in Mwanza is Proudly Sponsored By ZAIN….Our Wonderful World, Coca-Cola, Nyanza Road Works and Simba Pipeline Products

Read more...

Wakuu wa Wilaya za Mwanza

Mkuu mpya wa wilaya ya Ukerewe Mh. Queen Mulozi Mashinga akila kiapo kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Dkt. James Msekala

Mkuu mpya wa wilaya ya Kwimba Ryoba Christopher Kangoye naye akila kiapo.

Baada ya kula kiapo wakuu hao wapya wa wilaya za Mwanza katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa huo Dk. James Msekela. Kulia ni mkuu wa wilaya mteule wa karagwe Mh. Angelina Mabulla ambaye alikuja kushuhudia kiapo cha wenzake kabla ya kwenda naye kula kiapo chake huko mkoani Kagera.


Read more...

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP