Friday, April 17, 2009

Pinda na wageni ofisini kwakwe

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kigoda cha mpingo,Mwakilishi Wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda(UNIDO)anayeondoka,Patricia Scott,baada ya mazungumzo yao,Ofisini kwa Waziri Mkuu,jijini Dar es salaam,April 16,2009.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkaribisha,Balozi wa Vietnam nchini,Bw.Nguyen Duy Thien ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo,April 16, 2009.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Japan nchini,Bw.Hiroshi Nakagawa, kabla ya mazungumzo yao,ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprill 16, 2009. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP