Monday, April 20, 2009

Ziara ya Waziri Mkuu Chuo

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua gwaride wakati alipofunga mafunzo
ya awali ya askari polisi kwenye Chuo cha Polisi cha Moshi(CCP)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,akisalimiana na Maofisi wa Jeshi la polisi na Magereza baada ya kuwasili kwenye uwaja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya awali ya Polisi na Uhamiaji katika Chuo cha Polisi(CCP)mjini Moshi jana. Kulia ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi,Said Mwema

Polisi wanafunzi wa Chuo cha Polisi cha Moshi(CCP)wakionyesha mbinu za kuwanasa majambazi mbele ya Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipotembelea kambi yao ya mafunzo ya Kilele Pori mkoani Kilimanjaro juzi.Askari hao wamehitimu jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP