Tuesday, April 14, 2009

Vodacom yaipiga tafu TBF.

Katibu Mkuu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo(kushoto)akifurahia kukombolewa kwa mipira ya msaada iliyotolewa na shirikisho la mchezo huo,FIBA.Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ndiyo iliyosaidia kulipia ushuru wa Forodha mipira hiyo kwa kutoa sh Milioni moja(ML 1) fedha taslimu.kushoto kwa cheyo kati ni Nector Foya kutoka Vodacom akifuatiwa Matin Nkurlu mmoja wa maafisa uhusiano Vodacom na Simon Msofe.

Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom George Rwehumbiza wa pili kulia akimkadhi mipira 210 kwa viongozi wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo( kushoto)baada ya Vodacom Tanzania kuikomboa kwa kulipia ushuru wa forodha Sh Milioni 1.(kushoto) wengine kulia ni Simon Msofe na mbaga mwambona.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP