JK akikagua moja ya mabweni ya shule ya sekondari ya Saadani iliyopo wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa

JK akiwahutubia wananchi wa Saadani,wilayani Mufindi muda mfupi baada ya kufungua mabweni ya wavulana katika shule ya Sekondari Saadani

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazee wilaya ya Mufindi Mzee Sikauka Mwachang'a akimvika vazi la jadi na kumkabidhi zana za kivita za jadi JK katika uwanja wa mashujaa Mafinga,wilayani Mufindi

JK akiongea na Bi.Alatuhija Mkeleja wakati aliposimama na kuwahutubia wananchi wa Ilembula,Mkoani Iringa

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Bi.Alatuhija Mkeleja wakati aliposimama na kuwahutubia wananchi wa Ilembula,Mkoani Iringa (Picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment