Tuesday, August 19, 2008

JK apokea ripoti ya EPA

Rais Jakaya Kikwete akipokea ripoti ya uchunguzi kuhusu upotevu wa fedha katika Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoka kwa Mwenyekiti wa Timu iliyofanya uchunguzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika Ikulu, Dar es Salaam jumatatu. Wengine ni wajumbe wa Timu hiyo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Saidi Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Dk. Edward Hosea. (Picha na Freddy Maro).

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP