karume awaapisha makatibu wakuu wapya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akimuapisha Khalid Salum Mohammed kuwa Katibu Mkuu wizara ya Kilimo,Mifugo na Mazingira, awali alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi ajira Maendeleo ya Wanawake na Watoto,hafla hiyo ilifanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akimuapisha,Rahma Mshangama kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi ajira Maendeleo ya Wanawake na Watoto Zanzibar, kabla alikua Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Mazingira,hafla ya kuapisha ilifanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha kwa hisani ya Ikulu/Zanzibar
0 comments:
Post a Comment