Latoya azungumza na waandishi wa habari
Mshiriki wa Tanzania katika jumba la Big Brother III ambaye ametolewa mwishoni mwa wiki iliyopita Latoya akijibu maswali ya waandishi juu ya ushiriki wake katika jumba hilo na sababu za kutolewa kwake, kushoto kwake ni mmoja wa Mameneja wa Multichoice Tanzani Ronald Baraka Shelukindo na kulia ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Furaha Samalu.
0 comments:
Post a Comment