Wednesday, September 3, 2008

Kesi ya Zombe yahamia Sinza na Msituni kwa ushahidi zaidi

Mmoja wa mashahidi Mmari akitoa maelezo ya ushahidi wake katika Msitu wa Pande ulioko Mbezi Louis

Zombe akiendelea kutoa ushahidi eneo la Msitu wa Pande ulioko Mbezi Louis

Zombe akitoa ushahidi eneo la Msitu wa Pande ulioko Mbezi Louis


Zombe akiongozana na wakili wake Jerome MsemwaZombe akiendelea kutoa ushahidi maeneo ya Sinza
Zombe akitoka ushahidi maeneo ya sinzo walikofikia wafanyabiashara waliouawa


Zombe akielekea katika gari kabla ya kuelekea eneo la tukio

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP