Tuesday, October 28, 2008

JK ndani ya Bondeni kwa Mzee Madiba

RAIS Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Bunge la Jumuia ya Ulaya, Hans Gert Pottering, kwenye mkutano wa 10 wa Bunge la Afrika mjini Pretoria Afrika Kusini jana. (Picha na Muhidin Issa Michuzi).

JK akipokewa na Rais wa Bunge la Afrika Dk. Getrude Mongela uwanja wa ndege wa Oliver Tambo ambapo mchana huo Jk alifungua kikao cha 10 cha kawaida cha bunge hilo na kurejea bongo kuendelea na ziara yake ya siku 8 ya mkoa wa tabora

mbunge wa kisarawe ambaye pia ni mbunge wa afrika mh. athumani janguo (pili shoto) akishiriki katika kikao cha 10 cha kawaida cha bunge la afrika janahuko pretoria baada ya kufunguliwa na mwenyekiti wa umoja wa afrika JK(Picha zote kwa hisani Michzi Blog)


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP