Mwenyekiti wa CHADEMA, Freman Mbowe akizungumza katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Menonite jana mara baada ya kuwasili Tarime kutoka Jijini Dar es Salaam ambapo alipokewa na maandamano makubwa kutokea mpakani mwa wilaya ya Tarime na Rolya zaidi ya kilometa 25 toka Tarime mjini.
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment