Friday, November 7, 2008

east africa model search watambulishwa, waanza kambi rasmi

Model wa East Africa wakionesha miondoko yao

Mkufunzi mkuu wa mamodo wa east africa model search, supa modo mkongwe fideline ilanga (kati) akila pozi la nguvu na mamodo wake hao ambao watachuana novemba 29, 2008 hapa dar kupata washindi wanne wataopata mikataba ya kufanyia umodo ughaibuni

meneja wa kilaji cha redds george kavishe akieleza jambo wakati wa mkutano wa kuwatambulisha rasmi mamodo wa east africa model search hoteli ya southern sun (zamani holiday inn) dar leo. redds ndio wadhamini wakuu wa mchuano huo wenye mamodo toka kenya, uganda, rwanda, burundi na wenyeji bongo. wengine toka shoto ni judy felician ambaye ni mratibu mkuu, bona kaluwa ambaye ni mkurugenzi mkuu wa michuano hiyo na celine njunju afisa habari wa zain ambaye kampuni yake ni wadhamini.


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP