Friday, November 7, 2008

JK , Museveni na Ban Ki Moon wako Nairobi kujadili mgororo wa Kongo

JK akiwasili Nairobi tayari kwa mkutano wa mgogoro wa Kongo

JK na Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mwenyeji wao Rais Mwai Obama wa Kenya kwenye hoteli ya Windsor ambako mazungumzo ya mgogoro wa Kongo yanaendelea

Mwenyekiti wa African Union (AU) JK akiongea na KAtibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mh. Ban Ki Moon muda mfupi kabla ya wote kuhudhuria kikao maalumu cha majadiliano kuhusu mgogogoro mashariki ya Kongo katika hoteli ya Windsor Golf and Country Resort huko Nairobi, Kenya


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP