Wednesday, November 26, 2008

Mambo ya Mkutano wa SADC Arusha

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Samwel Sitta (kulia) na Spika wa Bunge la Botswana na Mwenyekiti wa Bunge la SADC, Patrick Balopi (katikati) wakifurahia ngoma ya kimasai baada ya Waziri Mkuu kuwasili kwemye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kufungua kikao cha 24 cha Bunge la SADC November 25, 2008.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Spika wa Bunge la Swaziland, Prince Guduza Dlamini kabla ya kufungua Kikao cha 24 cha Bunge la SADC kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) jijini Arusha November 25, 2008. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP