Tuesday, November 11, 2008

TID aonekana mahakamani kusikiliza rufaa yake

hapa ndiyo usiseme speed yake!!


Hapa mwendo umebadilika kabisa na speed imeongezeka zaidi
Hapa anaondoka mahakamani kwa mwendo wa kunyata huku speed ikiongezeka na sura kaificha.TID akiingia mahakamani kwenda kusikiliza rufaa yake, lakini wakati wa kutoka mahakamani ilikuwa tofauti saaaana!!!!


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP