Wednesday, November 26, 2008

Za mwizi ni arobaini


Maiti za Vijana ambao wamweuawa kikatili maeneo ya Mabibo Majimachafu jijini Dar es salaam baada ya kudaiwa kuwa vibaka ambao hawakutambuliwa majina yao kuuawa na wananchi wenye hasira. Imedaiwa vibaka hao walikwapua wapita njia waliokuwa wakiwahi makazini alfajiri..walikimbizwa wakakamatwa na kutiwa kiberiti kama nyama choma'. Mama mmoja wa marehemu alijitokeza eneo hilo na kumtambua mmoja wa vibaka hao kuwa ni mwanae na akasema kwamba alikuwa hajaonekana nyumbani kwa muda wa wiki moja!!!(Picha zote kwa hisani ya GBL)

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP