JESHI LA POLISI LAPOKEA MSAADA WA PIKIPIKI NA GARI
Mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya CMC Automobale Ltd Bw.Abdull Haji akikabidhi funguo za gari aina ya Randrover lenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani ya nchi Bw. Patrick Rutabanzibwa ili kusaidia juhudi za jeshi la polisi nchini katika kupambana na uhalifu katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es alaam Abas Kandoro na kulia ni mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema makabidhiano yamefanyika katika makao makuu ya wizara hiyo jijini
0 comments:
Post a Comment