Monday, December 8, 2008

Membe azindua Albam ya Kwaya

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatiafa, mhe. Bernard Kamillius membe (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Mhasham Askofu Methodius Kilaine na wanakwaya wa kwaya Kuu ya Mtakatifu Joseph jana. Mhe. Membe alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa album mpya ya Kwaya Kuu.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP