Saturday, January 31, 2009

TIGO jishindie mtaji wapatikana

Ofisa huduma kwa wataje wa Tigo Zanzibar Octavian Rwegasira(kushoto), akikabidhi zawadi ya simu ya mkononi kwa Sakina Abdalah, aliyojishindia wakati wa droo ya tisa ya promosheni ya jishindidie mtaji maalum kwa wateja wa Zanzibar ambapo hafla ya makabidhiano ilifanyika sambamba na droo ya mwisho ya promosheni hiyo.

Ofisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kushoto), akimkabidhi cherehani Abdalah Juma, ikiwa ni zawadi aliyejinyakulia katika promosheni ya JISHINDIE MTAJI wakati wa droo ya tisa ya promosheni hiyo iliyochezwa wiki iliyopita wakati wa hafla ya makabidhiano ya zawadi juzi, katika ofisi za Tigo zilizoko Mtaa wa Malindi Zanzibar ambapo pia Tigo ilitangaza kuisha kwa promosheni hiyo mara baada ya kucheza droo ya mwisho.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP