Thursday, January 8, 2009

Uchaguzi wa UWT Dodoma

JK akihutubia wakati akifungua mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake katika ukumbi wa Kilimani huko Dodoma . Kwenye nafasi ya Mwenyekiti kuna Mh. Janeth Kahama na Mh. Sofia Simba ambapo mmoja wao atamrithi Mh. Anna Abdallah katika kiti hicho.

baadhi ya wajumbe toka mikoa yote ya bara na visiwani katika mkutano huo

Baadhi ya kinamama mashuhuri kwenye mkutano huo. Toka shoto ni Mama Sitti Mwinyi, Mama Fatma Karume na Mama Maria Nyerere

Mwenyekiti mstaafu wa U W T Taifa Mh. Anna Abdallah akimkaribisha JK kufungua mkutano mkuu wa saba wa uchaguzi wa U W T Taifa kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP