Wednesday, January 7, 2009

Zain yazindua programu mpya ya Uaminifu

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi akionyesha katalogi yenye orodha ya zawadi anuwai za mabilioni ya fedha ambazo wateja wa Zain watapokea kwa kushiriki katika programu mpya ya Uaminifu, ‘Zain Rewardz Program’ iliyozinduliwa wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana (Januari 7, 2008). Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Zain Tanzania, Irene Mlola.

Mkurugenzi Mtendaji wa Zain Tanzania, Khaled Muhtadi (wa pili kulia) akionyesha katalogi yenye orodha ya zawadi anuwai za mabilioni ya fedha ambazo wateja wa Zain watapokea kwa kushiriki katika programu mpya ya Uaminifu, ‘Zain Rewardz Program’ iliyozinduliwa wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana (Januari 7, 2008). Kushoto ni Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla, Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Zain Tanzania, Irene Mlola na Tammy Whyman kutoka Kampuni ya Delta Partners.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP