Friday, February 13, 2009

JK akutana na kiongozi wa mabohora duniani

JK akiwa na kiongozi wa Mabohora duniani Dr.Syedna Mohammed Burhanuddin baada ya kiongozi huyo wa Mabohora kumvika mgolole maalum wakati JK alipokwenda kumtembelea katika msikiti wa Mabohora ulioko Upanga jijini Dar
JK akiwa katika mazungumzo na kiongozi wa Mabohora duniani Dr.Syedna Mohamed Burhanuddin wakati alipokwenda kumsabahi kiongozi huyo katika msikiti wa mabohora uliopo Upanga jijini Dar

No comments:

Post a Comment