Friday, February 13, 2009

Jk apokua hati za utambulisho za mabalozi

JK akiongea na balozi Nguyen Duy Thien wa Vietnam mara baada ya balozi huyo kuwasilisha hati zake Ikulu
JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Ian Hui Jong wa Korea ya Kaskazini leo Ikulu, Dar. Aliyesimama kati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro




JK akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi Salim Levent Sahikaya wa Uturuki leo Ikulu, Dar. Katikati ni mkuu wa Itifaki, Balozi Anthony Itatiro



No comments:

Post a Comment