Tuesday, February 3, 2009

Mustafa Hassanali azindua Malkia Bridal Collection 2009

Mustafa Hassanali akizungumza na waandishi wa habari juu ya onyesho la mavazi ya maharusi litakalo fanyika February 7 2009 katika ukumbi wa Little Theatre Club Dar es Salaam.

Mustafa Hassanali akizungumza na waandishi wa habari juu ya onyesho la mavazi ya maharusi litakalo fanyika February 7 2009 katika ukumbi wa Little Theatre Club Dar es Salaam. Kulia ni Beatrice Singano wa Zain na kushoto ni Teddy Mapunda wa Kamuni ya Bia ya Serengeti ambao wamedhamini onyesho hilo kupitia bia yao ya Stella Artois.

Mustafa na wawakilishi wa makampuni yaliyodhamini onyesho lake


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP