Thursday, March 19, 2009

JK arejea Dar

JK na Mama Salma kikwete wakipokewa mchana huu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar mara baada ya kurejea toka London ambako JK alihudhuria mkutano katika mkutano wa awali wa majadiliano wa G-20 ambao alikuwa amealikwa pamoja na viongozi kadhaa wa Afrika.

No comments:

Post a Comment