Thursday, March 19, 2009

Wiki ya Maji yaadhimishwa kwa maonesho Bukoba

Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Sabaani Mwinjaka akitowa ufafanuzi wa athari ya ukataji Mitina Uharibifu wa Mazingira kwe Bw Audax Mwesiga na Bw Thaobald Theonest wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa inayafanyika mjini Bukoba leo. Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment