Thursday, March 19, 2009

Mawakala Miss Tanzania wapigwa msasa

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Ezekiel Maige akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wakati wa uzinduzi wa miss Tanzania inayofanyika leo na kesho kwenye Hoyeli ya Regency Park Msasani kauli mbiu ya Miss Tanzania mwaka huu ni kutangaza Utalii wetu katika picha wanaofuatia ni Balozi Ammy Mpungwe Mwenyekiti wa Tanzanite One George Rwhumbiza Meneja Udhamini na Mawasiliano Vodacom na Bosco Majaliwa katibu mkuu Miss Tanzania.

Makala wa Miss Tanzania wa kanda na mikoa wakipozi kwa picha ya pamoja na mgeni rasmi naibu wa Maliasili na Utalii Wzekiel Maige leo mchana katika uzinduzi wa semina hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Regency Park Msasani.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP