Thursday, March 19, 2009

MISS TANZANIA NA VODACOM WAFUNGA NDOA YA MIAKA MIWILI


Meneja Udhamini na mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza akizungumzia mafanikio na malengo ya kampuni hiyo katika kuboresha shindano la Miss Tanzania

Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Efraim Mafuru akiongea kwa kusisitiza huku akipigiwa makofi na Hashim Lundenga Na George Rwehumbiza wakati alipokuwa akiielezea nia ya kampuni yake kudhamini Miss Tanzania kwa miaka miwili na kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili yaendane na viwango vya kimataifa na kupata wawakilishi watakaoletea sifa Tanzania lakini pia Vodacom yenyewe kwa mara ya kwanza mkataba huo ulisainiwa mbele ya waandishi wa habari na wageni mbalimbali walioalikwa katika uzinduzi huo mithili ya baadhi ya mikataba ya kiserikali ambayo imekuwa ikisainiwa na pande mbili za serikali husika mbele ya waandishi wa habari na mashuhuda mbalimbali, kwa picha zaidi za tukio hilo shuka chini upate kujua kilichojiri jana usiku katika Hoteli ya Regency Park iliyoko Msasani.


Hashim Lundenga mkurugenzi kamati ya Miss Tanzania, na George Rwehumbiza Meneja udhamini na Mawasiliano Vodacom wakisainiMkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga akiishukuru kampuni ya Vodacom
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP