Ofisa Uhusiano wa Tigo Bwana Jackson Mmbando akiwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya Mr. Blue na Bushoke wakatika alipokuwa akitambulisha tamasha la usiku wa Xtreme ambao umepangwa kufanyika katika fukwe za Cine Club maalumu kwa ajili ya wateja wa Tigo
Back to TOP
0 comments:
Post a Comment