Tuesday, October 28, 2008

Wahariri waandamana Dar

Hapa ndiyo ilikuwa tamati ya maandamano katika ofisi za Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo

Hata kama watajifanya mabubu lakini ujumbe umefika

Usipime Mkuu, wapiga picha nao hawakuwa nyuma


Maandamano yaliambatana na Ujumbe mzito wa mabango licha ya kziba midomo kwa plastaBaadhi ya Wahariri pamoja na wanahabari wakiwa katika maandano ya kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi,
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP