Tuesday, October 14, 2008

Tigo yaendelea kugawa vitabu

Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Kanda yaKaskazini, Rweyemamu Protace akizungumza na mmoja wa wanafunzi waShule ya Sekondari Ilkiding'a, Devoter Gladstone katika hafla ambayoTigo ilikabidhi msaada wa vitabu 160 vya fizikia vyenye thamani ya shsmilioni tano kupitia mpango wake wa kuendeleza elimu wa Tigo ElimuBora Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika shuleni hapo, Arumeru mkoaniArusha.

Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Kanda yaKaskazini, Rweyemamu Protace (kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wavitabu vitabu 160 vya fizikia vyenye thamani ya shs milioni tanokupitia mpango wake wa kuendeleza elimu wa Tigo Elimu Bora Tanzaniakwa Dada Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ilkiding'a, Grace Mosses kwaajili ya sekondari hiyo katika hafla iliyofanyika shuleni hapo,Arumeru mkoani Arusha juzi. Wanaoangalia katikati ni Mkuu waIlkiding'a, Omary Nyangu na Msimamizi wa Tigo Huduma kwa Watejawa Kanda hiyo, Lydia Sakaya.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP