Vodacom yajipenyeza Ukerewe
Afisa habari wa Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule, akikabidhi vyumba viwili vya madarasa vyenye thamani ya shilingi Milioni 24, Mbunge wa Ukerewe, Getrude Mongela vya shule ya Sekondari Mukituntu iliyopo wilayani Ukerewe. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Paul Chiwile, Sherehe hizo za makabidhiano zilifanyika leo wilayani Ukerewe
0 comments:
Post a Comment