Wednesday, November 26, 2008

Mramba, Yona wapelekwa kekoWatuhumiwa Daniel Yona na Basil Mramba wamepelekwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana moja wapo likiwa ni kuweka pesa taslimu Bilion 3.9 kwa kila kichwa. Kuna jumla ya mashtaka 14 kwa watuhumiwa wote wawili
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP