Friday, November 28, 2008

RASI KARUME AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME AKISALIMIANA NA WAZIRI MKUU WA NCHINI MSUMBIJI MHE LUISA DIAS DIAGO,PAMOJA NA UJUMBE WAKE ALIPOFIKA IKULU MJINI ZANZIBAR JANA,AKIWA KATIKA ZIARA YA SIKU MOJA.

PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULULZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME,AKIZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU WA NCHINI MSUMBIJI MHE LUISA DIAS DIAGO,PAMOJA NA UJUMBE WAKE ALIPOFIKA IKULU MJINI ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME,AKIWA MGENI WAKE WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI MHE LUISA DIAS DIAGO, ALIPOFIKA IKULU MJINI ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU MOJA.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP