Thursday, November 27, 2008

SUA watoa tuzo kwa wanafunzi bora

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Celine Kombani akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Gerald Monela(katikati) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilomo Sokoine (SUA) anayeshughulika na mambo ya Taaluma, Prof. Dominic Kambarage (kulia) baada ya kukabidhi tuzo mbalimbali za wanafunzi wa SUa waliofanmya vizuri katika masomo yao ambapo tuzo 120 zilitolewa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Celine Kombani (kushoto) akimkabidhi tuzo sh milioni moja mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu cha Kilomo Sokoine (SUA) John Mawewe kwa kutoka kitivo cha Kilimo. Tuzo hiyo imetoka Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika. Wapili kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo SUA, Prof. Gerald Monela . Mawewe pia alipokea tuzo ya sh 75,000 kutoka kwa Dr.Anna Kajumulo Tibaijuka.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP