Thursday, January 15, 2009

Pinda ziarani Zenji

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akikagua kadi za wananchma wa cha ushirika wa kuweka nakukopa (SACCOS) ya Meli nne, Zanzibar, juzi. Kushoto ni Waziri Kiongozi waZanzibar, Shamsi Vuai Nahodha na kulia ni Mhazini wa ushirika huo, Shemsa Hilali

MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akivuna mpunga katika bonde la Cheju, mkoa wa Kusini Unguja

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda akilakiwa na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Kushoto ni Naibu Waziri Kiongozi, Ali Juma SHamhuna


0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP