Tuesday, February 3, 2009

buriani chadiel mgonja

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na kuagana na Mzee Ibrahim Kaduma Shemeji wa Marehemu Chediel Yohane Mgonja wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mlimani jijini Dar es salaam leo kufariji wafiwa na kuaga mwili wa marehemu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein, akitia saini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Chediel Yohana Mgonja aliyewahi kushika nyazifa tofauti Serikalini ikiwemo Waziri wa Elimu, Waziri wa Utamaduni na Michezo na Waziri wa Mambo ya nje katika serikali ya awamu ya kwanza. Mzee Mgonja alifariki juzi kutokana na ugonjwa wa kisukari. Anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Same mkoa wa kilimanjaro.

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP