Tuesday, February 3, 2009

JK akabidhi uenyekiti wa AU kwa Ghadaffi; ahutubia mkutano huo kwa Kiswahili

JK na Mwenyekiti mpya AU Muammar Ghadaffi mara tu baada ya kumkabidhi Uenyekiti wa Umoja wa Afrika

Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Mh. Bernard Membe akiwa pamoja na Mawaziri mwenzie katika mkutano wa umoja wa nchi za Afrika. Toka shoto ni Mh. Shukuru Kawambwa, Mh.Wiliam Ngeleja na Mh. Machano Said wakati Rais Kikwete akisoma Hotuba yake ya kukabidhi Uenyekiti wa AU
JK na Katibu mkuu wa Umoja wa Maitaifa Bank Moon mara tu Baada ya kukubidhi uenyekiti

JK akikabidhi KIRUNGU kuashiria kumkabidhi uenyekiti kwa Mwenyekiti mpya wa UMOJA WA afrika Kiongozi wa Libya Muammar GhadaffiRais wa Libya Kanali Muammar Ghadaffi akihutubia Marais wa nchi za Afrika mara tu baada ya Kuchanguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa AU
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP