Tuesday, August 5, 2008

JK aendelea na ziara yake mkoani Iringa

JK akikagua moja ya mabweni ya shule ya sekondari ya Saadani iliyopo wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa

JK akiwahutubia wananchi wa Saadani,wilayani Mufindi muda mfupi baada ya kufungua mabweni ya wavulana katika shule ya Sekondari Saadani

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazee wilaya ya Mufindi Mzee Sikauka Mwachang'a akimvika vazi la jadi na kumkabidhi zana za kivita za jadi JK katika uwanja wa mashujaa Mafinga,wilayani Mufindi


JK akiongea na Bi.Alatuhija Mkeleja wakati aliposimama na kuwahutubia wananchi wa Ilembula,Mkoani IringaRais Jakaya Kikwete akiongea na Bi.Alatuhija Mkeleja wakati aliposimama na kuwahutubia wananchi wa Ilembula,Mkoani Iringa (Picha na Freddy Maro).
0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP