Pinda na wageni ofisini kwakwe
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kigoda cha mpingo,Mwakilishi Wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda(UNIDO)anayeondoka,Patricia Scott,baada ya mazungumzo yao,Ofisini kwa Waziri Mkuu,jijini Dar es salaam,April 16,2009.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkaribisha,Balozi wa Vietnam nchini,Bw.Nguyen Duy Thien ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo,April 16, 2009.










