Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts

Monday, April 20, 2009

Simba na Yanga katika picha







Simba na Yanga katika picha



Read more...

Thursday, April 16, 2009

MILIONEA ATAKAYEVUNA MILIONI 100 ZA VODACOM KUPATIKANA JUNI

Katikati ni meneja wa Udhamini na mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza kushoto Boniface Emmanuel meneja bidhaa na kulia ni Elihuruma Ngowi muneja huduma na Bidhaa wote kwa pamoja wakionyesha bango lenye maneno ya tuzo droo ya milioni mia moja inayotarajiwa kumpata mshindi mwezi wa sita mwaka huu aqmbapo katika kipindi cha miezi 11 iliyopita Vodacom imeshatoa zawadi za zaidi ya Bilioni moja.

Read more...

Simba, Yanga wapewa vifaa


Meneja Masoko wa tbl david minja (kulia) akimkabidhi uzi mpya makamu mwenyekiti wa simba sc omari gumbo (mwenye tai) huku meneja wa simba innocent njovu (shoto) na mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni jijini dar. yanga nao wamekabidhiwa uzi wao, tayari kwa mechi ya jumapili hii. Picha ya Juu akimkabidhi katibu mkuu wa Yanga Lucas Kisasa vifaa vya Yanga

Read more...

Tuesday, April 14, 2009

Vodacom yaipiga tafu TBF.

Katibu Mkuu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo(kushoto)akifurahia kukombolewa kwa mipira ya msaada iliyotolewa na shirikisho la mchezo huo,FIBA.Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ndiyo iliyosaidia kulipia ushuru wa Forodha mipira hiyo kwa kutoa sh Milioni moja(ML 1) fedha taslimu.kushoto kwa cheyo kati ni Nector Foya kutoka Vodacom akifuatiwa Matin Nkurlu mmoja wa maafisa uhusiano Vodacom na Simon Msofe.

Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom George Rwehumbiza wa pili kulia akimkadhi mipira 210 kwa viongozi wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini,TBF,Lawrence Cheyo( kushoto)baada ya Vodacom Tanzania kuikomboa kwa kulipia ushuru wa forodha Sh Milioni 1.(kushoto) wengine kulia ni Simon Msofe na mbaga mwambona.

Read more...

Monday, March 16, 2009

Ligi ya kikapu Kili RBA yamalizika

Mabingwa wa Kili RBA wanaume JKT

Mabingwa wa ligi ya Kili RBA wanawake JKT Stars

Read more...

Saturday, February 14, 2009

Kipigo alichokipata Matumla








Picha za Cheka alivyomtwanga Matumla


Read more...

Friday, February 13, 2009

BENKI YA NMB YAPATA WASHINDI WA KWENDA IVORY COAST!!

Julius Konyani ambaye ni product Manager wa NMB akichezesha bahati nasibu ili kuwapata washindi wa safari ya kwenda Ivory Coast kushuhudia baadhi ya michezo itakayochezwa na timu ya taifa Taifa Stars katika mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika (CHAN) ambapo walipatikana washindi wawili ambao ni Kagenge Jofrey kutoka Mbalizi Mbeya na Mandingo Mussa wa Tunduru Ruvuma wengine wanaoonekana kwenye picha kulia ni Josephin Kurwa meneja mawasiliano wa benki hiyo, katikati ni Chiku Salehe kutoka bodi ya bahati nasibu na kushoto ni Julian Batalia Cellcom Gemming.

Read more...

Wednesday, February 11, 2009

JK na Stars Ikulu

JK akipeana mikono na nahodha wa Taifa Stars Nsajigwa

JK akikumbataiana na kocha wa Taifa Stars Marcio Maximo Ikulu

JK akimpongeza bosi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephrahim Mafuru kwa mchango mkubwa wa kampuni hiyo kusaidia sana michezo na burudani nchini, ikiwa ni pamoja na kudhamini ligi kuu ya bara. Hii ilikuwa katika hafla ya dina la mchana ambalo JK aliwaandalia Taifa Stars na wafadhili wa timu hiyo ya Taifa inayojiandaa kwa michuano ya CHAN baadaye mwezi huu huko Ivory Coast.


JK akiagana na Mshambuliaji wa timu hiyo Musa Hasan Mgosi Ikulu Dar Es Salaam



Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars baada ya kula nao chakula cha mchana Ikulu




Rais Jakaya Kikwete jana aliialika timu ya taifa Taifa Stars kwaajili ya chakula cha mchana Iklulu ya Dar es Salaam. JK aliipongeza timu hiyo kwa mafanikio makubwa iliyoipata katika kipindi kifupi na kufanikiwa kufuzu fainali za Chan.





Read more...

Friday, February 6, 2009

Starndard Chartered yaipiga jeki RT

Wanariadha wawili Aisha Rajab Mathia kushoto na Andrea Silvin Chulo wakiwa wamejifunika Bendera ya Taifa mara baada ya kuongea na wanahabari katika makao makuu ya Benki ya Starndard Chartered kuhusu kushiriki kwao katika mbio za Hong Kong Greatest Race on Earth 2009 Benki hiyo pia imedhamini mbio hizo ambapo wanariadha hao watashiriki mbio za Starndard Chartered Hong Kong Marathon

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Starndard Chartered Jeremy Awori Kushoto akikabidhi bendera ya Taifa kwa wanariadha Andrea Silvin Chulo na Aisha Rajab Mathia wakati wanariadha hao walipokabidhiwa tiketi za ndege za kwenda Hong Kong na kurudi nchini Andrew na Aisha wanakwenda Hong Kong kushiriki mbio za Hong Kong Greatest Race on Earth 2009

Read more...

Wednesday, February 4, 2009

trials of Henry Joseph and Emeh Izuchukwu in Norway







Pictures of Simba Sports Club players Henry Joseph and Emeh Izuchukwu, training with Molde Fk (Premier Division- Norway) in Las Palmas, Spain. Henry and Emeh are expected to train 2 more days with Molde, and then they fly out to Norway where they will undergo trials with Tromso (premier division – Norway) in Tromso. So far they have both been impressive, however we it is still early to say if they will be offered contracts. Molde’s coach Mr. Kjeil said he thought henry joseph was technically very good.

NB:Shukrani ya picha hizi imwendee Mdau Clifford Ndimbo wa TBC 1



Read more...

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP