Friday, February 6, 2009

Starndard Chartered yaipiga jeki RT

Wanariadha wawili Aisha Rajab Mathia kushoto na Andrea Silvin Chulo wakiwa wamejifunika Bendera ya Taifa mara baada ya kuongea na wanahabari katika makao makuu ya Benki ya Starndard Chartered kuhusu kushiriki kwao katika mbio za Hong Kong Greatest Race on Earth 2009 Benki hiyo pia imedhamini mbio hizo ambapo wanariadha hao watashiriki mbio za Starndard Chartered Hong Kong Marathon

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Starndard Chartered Jeremy Awori Kushoto akikabidhi bendera ya Taifa kwa wanariadha Andrea Silvin Chulo na Aisha Rajab Mathia wakati wanariadha hao walipokabidhiwa tiketi za ndege za kwenda Hong Kong na kurudi nchini Andrew na Aisha wanakwenda Hong Kong kushiriki mbio za Hong Kong Greatest Race on Earth 2009

0 comments:

About This Blog

Blog Archive

Waliotembelea ukurasa huu

free counter

  © The Professional Template Under Dullonet Tanzania @ 2008

Back to TOP